٢
Watu wakiangalia televisheni inayoonyesha kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un akihudhuria Tafrija ya kukamilika kwa ujenzi wa kiwanda cha mbolea cha Sunchon, katika stesheni ya reli huko Seoul Mei 2, 2020. Kiongozi huyo wa Korea amejitokeza tena kwa mara ya kwanza baada ya wiki tatu, vyombo vya habari vimeripoti Mei 2, baada ya uvumi mkubwa kura Kim alikuwa mgonjwa sana au kunauwezekano kuwa amekufa.(Photo by Jung Yeon-je / AFP)